Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
AahaaaaaaaNi suala la mapito tu ila nyie ndio timu Bora zaidi ukanda huu.Takwimu hazidanganyi..
Ni msemo wa kujifarijiHuu msemo unatumika vibaya.
AahaaaaMkuu wanasimba mmekumbwa na msongo wa mawazo kiasi kwamba mnasahau majukwaa ya kupeleka malalamiko yenu ya kimpira.
Huku ni MMU
Bado hajafanyeje....????Aahaaaa
Uzuri mpira hauchezwi mafichoni watu wanaona [emoji3][emoji3][emoji3]
Papatu papatu Fc!!Ni suala la mapito tu ila nyie ndio timu Bora zaidi ukanda huu.Takwimu hazidanganyi.
View attachment 2770732