Wadau..
Nina mpendwa amemaliza form IV mwaka jana hapa dar na hakupata alama zinazotakiwa kuendelea mbele kielimu..
Ameamua kurudia mtihani. Changamoto kuu ni kuhitaji kufahama Vituo vipi vinatoa elimu ya uhakika kwa wanaorudia mitihani hii vilivyopo DSM?.... vilevile nitashukuru kufahamu gharama na kupata contacts zao..
Nawasilisha na ahsanteni..