Form iv wapewe mtihani mwingine

Form iv wapewe mtihani mwingine

sokolaboro

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2011
Posts
313
Reaction score
54
Waliofutiwa mtihani wengine walifanya vizuri kwa akili zao. Hivyo kujua aliyekuwa amepata mtihani kabla ni kuwapa mtihani mwingine ambao wataufanya ili wasipotezewe wakati wasiohusika na watakaofeli ndio waliokuwa na mtihani.
 
Serikali haina muda mchafu.....waliofeli wamefeli waangalie upepo mwingine.
 
Back
Top Bottom