Form One kupimwa kama wanajua Kusoma, Kuandika na Kuhesabu - (kwa hiyo Form One = Kindergarten)

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
588
...Elimu ya Tanzania sasa IMEKUFA RASMI.

Waziri wa Elimu amethibitisha bungeni, tena bila kigugumizi wala wasiwasi kwamba wanafunzi WALIOFAULU kuingia kidato cha kwanza watafanyiwa kijimtihani cha kuwapima kama wanajua KUSOMA, KUANDIKA na KUHESABU (KKK).

Cha ajabu zaidi ni kwamba Waziri haoneshi kwamba kuna tatizo katika process iliyosababisha ufaulu feki.

WE ARE DOOMED!
 
Ungemkumbusha ni process ipi hiyo.
 
Elimu ingekufa kwa kutokuwapima ili kupata uhakikia kuwa walifaulu kihalali ...... Kwani malengo ya Mtihani wa darasa la saba ni nini? sio hizo KKK??
 
Hii nchi inapelekwa tu shokomzoba,
imebaki kuwa kama nchi ya kusadikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…