muzdalifa Member Joined May 30, 2014 Posts 58 Reaction score 8 Jul 21, 2014 #1 hivi inawezekana kwa form six wa 2014 kuaply diploma ya afya mwenye uelewa anijuze maana celewi pakuanzia ili nisome diploma ya afya msaa plz jamani
hivi inawezekana kwa form six wa 2014 kuaply diploma ya afya mwenye uelewa anijuze maana celewi pakuanzia ili nisome diploma ya afya msaa plz jamani
muzdalifa Member Joined May 30, 2014 Posts 58 Reaction score 8 Jul 21, 2014 Thread starter #2 wakati wanaapply watu waluomaliza nyuma matokeo ya six 2014 yalikuwa bado