VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Matokeo ya kidato cha sita waliohitimu mapema mwaka huu yako tayari kutangazwa. Yanaonesha ufaulu kushuka kama ilivyotokea kwa kidato cha nne mwaka huu. Ufaulu wa wavulana umeuzidi wa wasichana ingawa wasichana wengi wamechomoza nafasi za juu. Sayansi imeifunika sanaa. Matokeo yatatangazwa mwanzoni mwa mwezi wa tano. Wahusika kaeni mkao wa kulia au kucheka!
Who are you by the way?Matokeo ya kidato cha sita waliohitimu mapema mwaka huu yako tayari kutangazwa. Yanaonesha ufaulu kushuka kama ilivyotokea kwa kidato cha nne mwaka huu. Ufaulu wa wavulana umeuzidi wa wasichana ingawa wasichana wengi wamechomoza nafasi za juu. Sayansi imeifunika sanaa. Matokeo yatatangazwa mwanzoni mwa mwezi wa tano. Wahusika kaeni mkao wa kulia au kucheka!
Matokeo ya kidato cha sita waliohitimu mapema mwaka huu yako tayari kutangazwa. Yanaonesha ufaulu kushuka kama ilivyotokea kwa kidato cha nne mwaka huu. Ufaulu wa wavulana umeuzidi wa wasichana ingawa wasichana wengi wamechomoza nafasi za juu. Sayansi imeifunika sanaa. Matokeo yatatangazwa mwanzoni mwa mwezi wa tano. Wahusika kaeni mkao wa kulia au kucheka!
hayo maneno 2 amna lolote fm 6's n adult people wenye resolutions sio kama 4m 4 sahau ku2fananisha na hao