Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mfikirie vitu vizuri na mawazo mazuri, just in caseMara nyingi anaweza fikiria kitu.. The moment anataka kushare na mimi nakuwa nimeshakifikiria au jana au juzi.
Anaweza kuona mdada amevaa kitu fulani akakipenda, akiniona anakuta nimekivaa… Tuna aina hizi za coincidences .
lost files
Haha my wapendanao ndio wagombanao,mmoja kiburi mwingine jeuri..ila mmoja akiamua ku lay low,anhaa mambo mbona swafi??ila Sasa Nani awe mpole...kasheshe😂😂😂 Solometi manenos
Ila kwanini tunagombana kila siku 🤣 I hope mi sio mkorofi.
We're not that intelligent bro,lolMfikirie vitu vizuri na mawazo mazuri, just in case
Namaanisha Kama mna coincidence ya kufikiria kitu kimoja, basi kisiwe kibaya maana chaweza wadhuru.We're not that intelligent bro,lol
Hata usiende km huna nia ya kuwa mjeshi, bora uende VETA.Nimepangiwa oljoro
Unaakili sana shemela, mimi na pacha wangu hatuna 😅Namaanisha Kama mna coincidence ya kufikiria kitu kimoja, basi kisiwe kibaya maana chaweza wadhuru.
binti kiziwi
Hivi akili ndio nini vile 😂 😁, sikumbuki hata kuwa nazo maana I lack some big part of itUnaakili sana shemela, mimi na pacha wangu hatuna 😅