Form six leavers

luckyboy_360

Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
20
Reaction score
1
Ur welcome at udom...life is so cool with good facilities..so usikilize ya watu...na ujue kuwa elimu popote..na usifuate mkumbo...
 
Hizi mbwembwe mara nyingi huwa zinaanza soon before matokeo kutoka,yakishatoka na kile kipindi cha kusubiri release ya TCU

Mwaka huu naona mmewahi
 
Ur welcome at udom...life is so cool with good facilities..so usikilize ya watu...na ujue kuwa elimu popote..na usifuate mkumbo...

Lazima kusikiliza, nadhani wote wa UDOM ni div three! Kuna haja ya kusikiliza, you will never compete!
 
Hivi unafikiri kupata division one ndo kufaulu? Unatakiwa ukumbuke kuwa hayo ni madaraja tu....haimaanishi kuwa mtu akiwa na division three amefeli....na ujue kuwa kupata duvision one ndo kunyesha kuwa unajua sana....na swala la chuo usidharau kwa ww maybe upo chuo kizuri...swala la ajira haitegemei umetoka chuo gani maana ingekuwa hivyo basi hichi chuo chako kingekuwepo hicho tu duniani...nikukumbushe kwamba performance yako ya chuo na uwezo binafsi ndo kinachomatter katika ajira....na wote wanaoingia chuo na division three asilimia kubwa wanatoka na Gpa kubwa na ndo kinachomatter.....halaf..uwe unafikiria before hujatoa maneno kinywani....
 
Unajua mm naamini ukishamaliza mitihani unajua kwamba utafeli au utafahulu kutegemea na jinsi ulivyofanya mtihani bila kuangalia madaraja...na niamini kuna wengine wanashauku kujua habar mbalimbali za vyuo wanavyowish kwenda kusoma thats way am introducing this thing now...
 
Wadogo zangu msijefanya makosa kwenda kusoma vyuo vya kata, nawasihi tena vyuo bora ni UDSM Mzumbe Ardhi IFM na SUA.
 
UDSM, Muhimbili, SUA, OUT, Mzumbe, UDOM na IFM. Chaguo ni lako, kwingine ni kupoteza muda tu
 
Wanoadharau UDOM naona bado hawahaelimika kabisa....siku zote mwanzo ni mgumu...so wanaoponda waendelee kuponda tu ss tusoma hapo na tutahitimu na tutapiga kazi kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…