jaman mi na Phy F Chem E Math E G/s F, je! Naweza kupata chuo? yan inawezekana nikaenda chuo kusotea degree? au ndo imekula kwangu? naomba msaada wenu wanajamii
Hapo uwezo upo kabisa!!! Wala usihof..na kma fom 4 ulipuliga fresh ndo kabisaa...tcu wanataka E mbili tu na unazo sasa was was wa nin!? Tafuta tcu guid buk uanze kupitia!! All the best ba karib sana chuo!!
Kwa sababu n science unaenda ndg anza process angalia kitabu cha tcu utaona kozi znazokuruhusu kuomba ila uwe teyar kupangwa kozi yoyote na chuo chochote na tcu,mm nilipata the same na wewe ila kwa pcb na nilikua na s kwa gs na b.m na chuo nikapangwa poa na tcu
Wabongo bhana....hv kuna haja gan ya kuwa na vyuo vng kama ni vya kata...unaonaje ukipeleka wazo lako sehemu hucka ili lifanyiwe kaz so dat hvo vyuo va kata vifungiwe, vbak tu hvyo ambavyo unahc wewe ndo vyuo vkuu....hopeless kijana...shame on yu🙁😡