hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
kwanza nawapa hongera weng mliofaulu nikiwemo na mimi tofauti na miaka miwili nyuma now tumefaulu wengi kwenda advance kwaiyo hii inamaanisha mitihani ya sisi ya form 6 itakuwa migumu sana ili kupunguza watu so tujipange fresh kwa chuo NI MTAZAMO TU