AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Mimi siyo form 6 ila ni mdau wa elimu. waraka huo nimeuona na ni wa trh 21/09/2012. tembelea wavuti wa wizara ya elimu na utaupata waraka huo. waraka uko wazi hivyo wanafunzi wote wa kidato cha 6 wakiusoma watauelewa tu. ukiupata nenda ktk ukurasa wake wa 2 ktk jedwali la juu na utaona kabisa kuwa wanafunzi walio F6 mwaka huu ndiyo watakaokuwa wa kwanza kuathiriwa na waraka huu kwani watafanya mtihani wao mei wiki ya 1 mwaka 2013.nawasilisha mkuu.
hapo kwenye red ndo nini???Form six kutokana na waraka wa wizara elimu ,mtihani utafanyika mwezi wa tano wiki ya kwanza.sasa haijajulikana kama,utakuwa na effect kwa 4m 6 wa sasa.kama una la zaid au ukweli wowote tupia hapa.mana bado ina changanya,waalimu wenyewe hawajajua bado zaid kuhugru hili