DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Habari wapendwa.
Mwakajana mwishoni, vijana wetu wa form two walifanya mtihani wao wa taifa.
Mpaka sasa matokeo yao bado hayajatoka, na shule zimesha funguliwa tayari (muhula mpya kwa kidato kipya).
Kilichopo, vijana wetu hawa hawaendi shuleni kusoma, kwa kisingizio cha kusubiri matokeo.
Binafsi naona ni vema kusubiri matokeo huku ukiwa unaendelea na masomo ya kidato cha tatu, na ikitokea bahati mbaya umefeli, unarudia tu, hamna shida. Maana vitu ambavyo unarudia tayari ulisha visoma, kuliko ukakaa nyumbani na ukafaulu (our ultimate desire), unajikuta umepoteza mda mwingi wa kujisomea mambo ya form three.
Rudini shule mkasome, walimu tunawasubiri darasani jamani.