Form two chemistry and physics syllabus-msaada tafadhali!!

web engineer

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
55
Reaction score
0
Salaam wana Jamii.
naomba msaada wenu,natafuta syllabus ya chemistry na Physics form two.nimempeleka mtoto wangu Canada natakiwa kupeleka syllabus za haya masomo next week ili waweze kujuwa darasa gani linamfaa kwa system ya huko.kwa sasa nipo pia canada.
tafadhali naomba msaada wenu jamani ndugu zangu watanzania.
asante sana
 
Hazipo online, nadhani ni za kununua tu. Kama una mtu huku anunue syllabus ya 2008 na siyo za 2005
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…