Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni
source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga
muulize headmaster yoyote atakupa majibu..si utani kikubwa nilitaka mjue selection zipo poa but wasi wasi wangu kwanini wameyapeleka mashuleni bila hata kuyaweka kwenye net
Ukitaka ..nisije ng'olewa kucha mie
kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni
source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga
mkuu wa shule gan?
mimi nimesha ziona na nimejiona nilipo chaguliwa habari hizi ni kweli kabisa....