Form V

Abelian

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
204
Reaction score
33
kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni
source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga
 
Hongera,tutajia jina la mkuu wa shule na namba zake za simu
 
Mkuu unauhakika? Au ndio unabuni?.Tupe namba za mkuu wa shule.
 
kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni
source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga

mkuu wa shule ipi? Au mkuu wa mazuzu sec school hahahahaha umetisha sana
 
Mkuu zina ukweli hizo habarii zako

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
muulize headmaster yoyote atakupa majibu..si utani kikubwa nilitaka mjue selection zipo poa but wasi wasi wangu kwanini wameyapeleka mashuleni bila hata kuyaweka kwenye net
Ukitaka ..nisije ng'olewa kucha mie
 
dah, ngoja nifanye uchunguz.. Lazma kuna k2 nyuma ya pazia.. Usiogope kung'olewa kucha kaka tutakulinda
 
kama ulijaza anuani ya shule basi mpigie simu headmaster wa shule ulionalizia atakupa maelezo kuhusu shule uliopangiwa
 
kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni
source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga

Ni kweli majna yapo shulen tayar ....subiri waziri huska atangaze ndo mtapata via moe.go.tz lakn science ni weng sn kulko arts,,.
 
mkuu wa shule gan?

hata shule niliyohtmu mimi o-level last year inaitwa Makita High School ipo Ruvuma headmaster aliwaambia wanafnz wa f6 mwaka huu kwmb amepatiwa majna ya wanafnz 80 combi 2(HGL&CBG)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…