B beniko Member Joined Dec 26, 2013 Posts 94 Reaction score 9 May 9, 2014 #1 Jamani ,wadau walisema kwenye ile fomu ya bodi ya mikopo(heslb)cheti cha matokeo cha F6 haki hitajiki, mbona kwenye ile form mwakahuu wanasema vyet vyote vya F4 & F6 vyote vinahitajika? msaada wadau
Jamani ,wadau walisema kwenye ile fomu ya bodi ya mikopo(heslb)cheti cha matokeo cha F6 haki hitajiki, mbona kwenye ile form mwakahuu wanasema vyet vyote vya F4 & F6 vyote vinahitajika? msaada wadau