NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Ujanja kujaribu usiku au mapema asubuhi. Copy ya hizo form ikiwekwa JF itakuwa msaada kwa wengi.
ngoma nzito vipi na wewe unakuwa mizinguo mbona fomu za bodi ya mikopo hazitaki kufunguka why mh?
Hizo fomu kwa kweli zina matatizo. Last week nilimdownloadia mdogo wangu lakini kwenye ku-print ni vituko vitupu. Kuna maandishi hayatokei kwenye karatasi japo kwenye fomu yanaonekana na kuna maandishi yanatokea kwenye karatasi japo kwenye fomu hayaonekani.
Yaani hii serikali yetu haiishi kunishangaza jinsi vile wanahandle mambo serious kama haya.
Kama ni pdf tatizo linaweza kuwa kwako mkuu. Sometimes virusi vinakula mafaili unashindwa kupata document njema. Jaribu kucheki vizuri. Wadau wa Jf watakupa ushauri zaidi.