Elections 2010 Form za uspika wa bunge la jamhuli ya muungano wa tanzania.

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
5,712
Reaction score
1,910
Form za Uspika wa Bunge la Jamhuli ya Mhuungano wa Tanzania;

Ndg kuna mambo ya muhimu hapa. Nasikia kuwa watu wameisha anza kuchukua form za kuomba hicho cheo cha uspika. Baadhi yao ni Bwn vijisenti (Mr Chenge) Bwn EDO, Bwn Sitta( the former Spika)na wengine. Inatakiwa muda huu watu wapenda fairness or Democracy wajipange kwa ajili ya hicho kiti maana kina umuhimu saana kupitisha au kupindisha maamuzi. HIYO NI MUHIMU SAANA WAKATI HUU TUSIJE KUJUTA BAADAE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…