Habarin wana JF,
Nauliza kwa wale tuliozuiliwa kuomba chuo TCU kisa tulipata chuo miaka ya nyuma, wanataka tuandike barua na tuambatanishe confirmation letter, nauliza kwa walioomba Je hii barua ikoje na format yake, chuo kinakuandikia au unaandika mwenyewe.
Ufafanuz plseee