Formation ya leo ya Simba kupambana na Azam Mapinduzi cup (4-2-3-1)

Formation ya leo ya Simba kupambana na Azam Mapinduzi cup (4-2-3-1)

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Timu kubwa timu la ushindi.

Formation kuwaua Azam. Mchezo wetu ni dakika 90 tutakuwa tumeua mtu. Mambo ya matuta ni uto kuleee!

Screenshot_20220113-103842.png
 
Uko vizuri japo substitution umeweka tatu tu
 
Approach ya kwanza ya Azam walicheza 4-4-2 watajikuta Wanamuacha Bwalya akicheza pekee yake. Huku wakiwa na Midfielders wawili tu wakati Simba ikiwa na watatu
ANIMATION_2 (1).jpg
 
Wakija na Approach ya 4-3-3 watajikuta Innonga anakuwa hana mtu na kufanya aende Ku cover nafasi ya Kapombe huku kapombe akibaki bila mtu na kuonge mbele mashambulizi.
ANIMATION_2 (2).jpg
 
Back
Top Bottom