Formation ya leo ya Simba kupambana na Azam Mapinduzi cup (4-2-3-1)

Uko vizuri japo substitution umeweka tatu tu
 
Naendelea kuwakera wenzetu.
Simba SC leo
 
Approach ya kwanza ya Azam walicheza 4-4-2 watajikuta Wanamuacha Bwalya akicheza pekee yake. Huku wakiwa na Midfielders wawili tu wakati Simba ikiwa na watatu
 
Wakija na Approach ya 4-3-3 watajikuta Innonga anakuwa hana mtu na kufanya aende Ku cover nafasi ya Kapombe huku kapombe akibaki bila mtu na kuonge mbele mashambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…