Former Cabinet Minister and Attorney General Charles Njonjo is dead

Alilaumiwa kama State Attorney General kuweka mazingira ya assassinations kuzidi nchini.
 
.... ameacha ukwasi unaokadiriwa kufikia USD 3 bn. Alikuwa ameshika ardhi ya kutosha kila pande ya Kenya.
 
Charles Njonjo aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya amefariki alfajiri ya leo 02.01.2022 saa 05:00Hrs aged 101. Aliacha wosia akifariki "asicheleweshwe" hivyo asubuhi majira ya 08:00hrs tayari amechomwa moto sawa sawa na wosia wake. Umeelewa?
Kikuyu wanapenda sana kuchomana (cremation). Mshindi wa tuzo maarufu duniani ya Nobel Prof. Wangari Maathai (Kikuyu) naye aliacha wosia achomwe ili kuokoa mazingira (magogo ya mbao za jeneza) ya Mt. Kenya. Wangari alikuwa Green-belt Activist.





Taswira zote kwa hisani ya google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…