Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Picha haziekeki sahi, sielewi nn mbaya na jf yangu. Nitaweka ikirudi sawaPicha ikwapi? Kingereza sijui mimi ila nikiona picha nitaelewa ulichoandika, hata ukuweka picha ya basi likiwa kibera poa tu
😂 😂 😂Wampeleke Afghanistan
Uko lazima aendeWampeleke Afghanistan
Eh, na kwingine kwingi. Wacha asake pepaUko lazima aende
Sidhani kama ni West Point pekee, alafu huyu dogo ni kama Army lad wa kawaida.Ivi Us Millitary Academy c ni West point???NY na wanatoa ma officer na coz za west point ni miaka 4 inamaana uyu jamaa kasoma miaka 4 Westpoint..,,,View attachment 1745584View attachment 1745586View attachment 1745585
Nani amekuambia kwamba yeye ni commusioned officer? Yeye nadhani ni non-commisioned officer. Yaani wale watu wa mikono. Lakini hongera kwake. Mshahara ya kuwa mwanajeshi USA ni nzuri sana.Ivi Us Millitary Academy c ni West point???NY na wanatoa ma officer na coz za west point ni miaka 4 inamaana uyu jamaa kasoma miaka 4 Westpoint..,,,View attachment 1745584View attachment 1745586View attachment 1745585
Ni mwanajeshi toka kitamboFormer Churchill show comedian Francis Onono aka "Brigeddia General" at last graduates from US Army.
On 2nd of April he graduated at Fort Sill, Oklahoma 1-31 Bravo Battery, 434th Field Artillery.
DREAMS COME TRUE! Kudos comrade!
Na ndomana nikauliza military academy kubwa US ni west point sasa yy kachukua mafunzo ya ya kiofisa mana Military academy nying zinatoaga ma ofisa tuu na sio ma other ranks....Nani amekuambia kwamba yeye ni commusioned officer? Yeye nadhani ni non-commisioned officer. Yaani wale watu wa mikono. Lakini hongera kwake. Mshahara ya kuwa mwanajeshi USA ni nzuri sana.
Yani atakuwa deployed sehemu kibao za vita duniani...Eh, na kwingine kwingi. Wacha asake pepa
Yeye sio officer. Ni nini huelewi?Na ndomana nikauliza military academy kubwa US ni west point sasa yy kachukua mafunzo ya ya kiofisa mana Military academy nying zinatoaga ma ofisa tuu na sio ma other ranks....
Sio lazma za kivita, jeshi la Marekani lina kambi zaidi ya mia tatu sehemu tofauti duniani. Afghanistan na Iraq ndio wako kidogo na bado wanapunguzwa sababu ya taratibu zao za kimakubaliano. Kuna wanajeshi wanatumwa hadi Saudi, Russia, hapa Afrika, yaani kusaidia tu kwa training na kadhalika, wametulia hadi siku zao za kurudi, wengine wapelekwe. Wanazungushwa sana hii dunia, ndio raha ilipo sasa kando na kuwa utakaa mbali na familia mda mrefu. So usione ati ukiingia jeshi basi ni vita tu.Yani atakuwa deployed sehemu kibao za vita duniani...
Yeye sio officer, officer's wanatoka academies, na huwa wameingia huko since wakiwa 17yrs old hadi wanapokuwa waki graduate wakiwa na 25yrs hivi huwa tayari kwa commissioning. Na kuingia academy hadi utume application na ukuwe selected na member of senate wa pahala unapoishi. Foreign countries wanapewa ruhusa kujiunga lakini nchi zao ndio hungaramikia kila kitu chao, labda wapate msaada kidogo kwa beberu.Na ndomana nikauliza military academy kubwa US ni west point sasa yy kachukua mafunzo ya ya kiofisa mana Military academy nying zinatoaga ma ofisa tuu na sio ma other ranks....