Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Hehehe, nasikia anataka kuhamia jubilee. Hatumtaki abakie huko huko NASA na maloser wenzao! Eti Munya? Wamuite na Kabogo pia!what abt Isaac rutto? ameongea kweli?
Usidanganywe na io narrative... Watu waliandika agents wao kwa polling stations na wako na copy ya matokea yaliyotangazwa kwa kila station (which most agents signed on)......swali ni mbna hamna ata mmoja amekuja mbele kusema figure zake hazipelekani na zile ziko kwa iebc????....ukweli ni wanataka kutumia excuse ya transmission (ambapo ndo issue ipo) uchaguzi urudiwe ndo wajiredeemMajority of counties election results are questionable. Nadhani computer iliwafanyia mbaya baadhi ya wagombea including Isaac Ruto.
Kuna polling station zingine hazikupeleka IEBC real signed and verified forms. Kinacho hitajika ni check and balance kuona kama ni kweli zile karatasi zilikuwa signed na right people au hata hizo zilizo kuwa signed hazikugeuzwa na wajanja. Mind you haujaona watu wanalalamika because it's not cheap kuanzisha kesi wakati umetoka kupoteza pesa kwenye uchaguzi. People are licking their wounds right now, wakipona watarudi.Usidanganywe na io narrative... Watu waliandika agents wao kwa polling stations na wako na copy ya matokea yaliyotangazwa kwa kila station (which most agents signed on)......swali ni mbna hamna ata mmoja amekuja mbele kusema figure zake hazipelekani na zile ziko kwa iebc????....ukweli ni wanataka kutumia excuse ya transmission (ambapo ndo issue ipo) uchaguzi urudiwe ndo wajiredeem
Sent using Jamii Forums mobile app
Over 98% of forms 34A were signed.... And those that were not signed at all were from NASA stronghold coast (which raises alot of questions if you think of it)......did NASA have a hand in this that they get to have a case???.......nway that's in the past let us concentrate on the 17th October electionKuna polling station zingine hazikupeleka IEBC real signed and verified forms. Kinacho hitajika ni check and balance kuona kama ni kweli zile karatasi zilikuwa signed na right people au hata hizo zilizo kuwa signed hazikugeuzwa na wajanja. Mind you haujaona watu wanalalamika because it's not cheap kuanzisha kesi wakati umetoka kupoteza pesa kwenye uchaguzi. People are licking their wounds right now, wakipona watarudi.
Yes...amesema ako ndaaaaaniwhat abt Isaac rutto? ameongea kweli?
Lol jana usiku aliongea live CITIZEN THROUGH PHONE CALL DREAM AGAINHehehe, nasikia anataka kuhamia jubilee. Hatumtaki abakie huko huko NASA na maloser wenzao! Eti Munya? Wamuite na Kabogo pia!
Lol 1/3 of the forms were not even presented mnaota tu facts smh!!!Over 98% of forms 34A were signed.... And those that were not signed at all were from NASA stronghold coast (which raises alot of questions if you think of it)......did NASA have a hand in this that they get to have a case???.......nway that's in the past let us concentrate on the 17th October election
Even on NASA's own projections they are giving jubilee a win who are you?everyone knows you don't have the numbers..but you are the loudest on social mediaLol 1/3 of the forms were not even presented mnaota tu facts smh!!!
Ngojeni L yenu 17th
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tungoje tuone kama Jubilee wataiba tenaNasa wanataka kuonyesha ulimwengu kuwa wao ni best losser.... na bet kabisa kwa gharama yoyote jubilee lazima ashinde na round hii %zitaongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota mchanaNamwonea huruma Raila na Aibu kubwaa inayomsubiri. Raila alishindwa vibaya kwenye 8/8 election ndio maana hatusikii akidai box zile zifunguliwe na kura zihesabiwe upya. Kama angeshinda kweli hicho ndo kingekuwa kilio chake cha kwanza. Aibu inayokuja ataenda kujificha. Tusubiri
What Jubilee numbers? or are u talking about those fake numbers thrown out by the supreme court?NASA is headed to a humiliating defeat....jubilee numbers dont lie.
If the numbers are sooo perfect then the supreme court should have affirmed Uhuru as president. Jubilee people keep on talking about numbers sijui 8 million sijui 1.4 million gap. What gap when the supreme court has said the election was a sham. The transmission system was interfered with and therefore the numbers were also interfered with. Some people didn't understand the judgement including Uhuru himself saying his numbers were clear when the numbers were rubbished.Even on NASA's own projections they are giving jubilee a win who are you?everyone knows you don't have the numbers..but you are the loudest on social media
Do the maths
My point exactly! Issack Rutto, Peter Munya, even Kabogo! They can all join NASA, so when your Baba is defeated for good he can have enough noisemakers to keep him warm out there in the cold! Winter is coming!Lol jana usiku aliongea live CITIZEN THROUGH PHONE CALL DREAM AGAIN
Sent using Jamii Forums mobile app