Former US President Barack Obama to visit Kenya and South Africa


Huyo muache ana chuki na Magu bila sababu za msingi. Hawa ni wale mafisadi waliopigwa mpaka chali. Sasa wanahaha.
 
Akii wewe! [emoji28]

Na tukiomba kubadilishiwa menu labda tutaletewa Buhari..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Buhari ana hospital diplomacy
Yeye ana shinda ulaya ila kwakuwa ana umwa.

Ila Buhari na Magu kwenye kufeli mambo ya ndani wako the sane watsap group
 
Aliweza kumfanya Obama atembelee Tanzania kwanza kabla ya kenya na afte 2 months aka mleta Ji Ping.
Kwa Diplomacy kipindi hiki tuko nyuma sana
Alivyowaleta wewe ulisaidikaje?
 
Trump anaposema America first ni kuwa taifa lake linaweza ku handle hiyo kitu. Kwa Tanzania faida yake hakuna zaid ndio anaua uwekezaji tuu.
Haita saidia kwa kweli
Kwa hiyo akizunguka ndio wawekezaji watakuja? Wawekezaji wanaletwa na mazingira bora ya uwekezaji kama Stiglers Gorge, SGR, airports, bandari, barabara sio presidential visits

Punguza ulimbukeni hata ulete wawekezaji million tano kama hakuna umeme unategemea wataendesha viwanda kwa powerbanks?
 
kila mmoja ana advantages zake...Kikwete alkuwa kipenzi cha dunia ila hakupiga hatua yoyote kwa maswala ya maendeleo na kumaliza ufisadi..magu naye namfananisha na trumpπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€"America First"
Dah leo umekula kitu gani? Mbona unatema madini hivyo.. Hahahaha
You are very correct Brother..
Sasa hivi Tanzania ni MKOSI na BALAA kubwa kwa huyu JIWE..
Almost all Head of States who are visiting the Country are Dictators..
Hata siku moja hakuna Kiongozi wa maana wa nje atatembelea Tanzania katika Utawala huu.

Pata fact hapo juu, Tanzania first, Vivaaa JPM
 
We ndio jinga kweli kwani hao wawekezaji si mpaka uende ukajitangaze?
Unadhani kipindi wanakuja kabla ya SGR walikuja vipi?
Unadhani wenzenu kina Kagame wanaenda kwenye mikutano ya kibiashara kwao airports hazijengwi? Kwao kuna bandari?
Magufuli atakuwa na akili kama zako ndio maana ana feli
 
Kwa hiyo JPM azunguke duniani kutangaza Tanzania? Unajua kazi ya mabalozi, waziri wa uwekezaji, waziri wa mambo ya Nje.?

Kuna Rais duniani anafanya ziara za kuzunguka kwenye mataifa ya watu kutafuta wawekezaji.?

Wawekezaji wanakuja wenyewe kwa mazingira bora yaliyoboreshwa

Kikwete aliizunguka dunia yote mara 6 ni wapi Tanzania ilifika kutokana na kuzunguka kule?
 
Kazi za mabalozi ziko nyingi wale ni wawaikilishi tuu wa rais kule. Ndio maana rais akifanya ziara anaenda hata na mawaziri mbali mbali.
Balozi ni kazi ku promote kila kitu kutokana na uzito mdogo.

Unataka useme kina Trump wanao toka nje ya US hawana mabalozi? Unataka kisema Kenyatta hana mabalozi?

Bush alipo kuja tukisaini mikataba mbali mbali yenye thaman ya USD mililion 700

Obama alipokuja tuliweka deals za Symbion kwenye umeme

Acha kina Ji Ping walikuja nao na vyao shida hukufuatilia tuu.
Hakuna ziara inayo kuwaga ya hasara mzee

Wenzenu kina Kenyatta na Kagame na Buhari walienda Davos kutafuta wawekezaji sasa wewe unavosema hakuna Rais anafanya hivo nakushangaa.
 
Hivi mnajua kya kabla Barrack amuoe Michelle, walitembea Lamu kusheherekea engament na anapanga kurudi tena huko siku moja na familia yake? So most likely barrack atarudi tena siku moja na kwenda Lamu, masai mara kabla kutembelea Kilimanjaro na pia Uganda...



US President Barack Obama on Sunday expressed a desire to visit the Maasai Mara and Lamu.
In an interview with Capital FM's Olive Burrows, President Obama when asked what Kenyan destinations he would love to visit responded with the Mara and Lamu, describing both as "magical".
"Lamu is a place I would be interested in visiting again, it is top on my list. I went there with Michelle after our engagement and I remember taking the dhow to fish, and cooking the fish right at the beach, it was remarkable," he said
STRUGGLING INDUSTRY
The US leader's comments will come as a huge boost to the country's tourism industry, which has been struggling following terrorist attacks and travel advisories.
However, keen not to sideline other destinations President Obama said: "I know there are other places in Kenya that I might not have explored; even in Uganda and Tanzania. For example, climbing Mt Kilimanjaro is top of my to-do list, but the Secret Service does not like me climbing mountains, which is why I should visit as a private citizen."
During the interview held immediately after an event at Kenyatta University, President Obama said that one of the things he had failed to accomplish during his presidency was passing stricter gun laws.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Buhari ana hospital diplomacy
Yeye ana shinda ulaya ila kwakuwa ana umwa.

Ila Buhari na Magu kwenye kufeli mambo ya ndani wako the sane watsap group
Hospital Diplomacy!... una dhambi ujue! [emoji1]

Haha, hivi kumbe wana Naija nao are going the same thing kama wakina sisi. Maana hata election yao and afterwards was a huge thing with lots of great promises lakini sasa wameshachoka.

I wish I could name their WhatsApp group lakini..[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…