Haters leo wamefumbwa mdomo...They said, The luckiest driver in f1 history - He has proved them very wrong today!
They have been claiming the winnings were due to Mercedes engineering but not his skills - He lapped his team mate today!
No one will be able to take it away from him..🐐!!
Halafu ni driver of day. Sikumbuki msimu huu ni lini Hamilton alikuwa driver of day!!At least Seb leo kapata podium ya kwanza msimu huu....
Yup... Seb kafanya vema sana kwenda kumpongeza Hamilton...Halafu ni driver of day. Sikumbuki msimu huu ni lini Hamilton alikuwa driver of day!!
Ninapenda Seb anavyomsapoti Hamilton!!
Nilichokuwa ninataka kumaanisha. Ana deserve more than once. Kama Gasly, Ricciardo, Perez au Albon ndio angekuwa anaushindi kama wa Hamilton mwaka. Angekuwa driver of day more than 5 times. Vettel pamoja na performance yake mbaya mwaka huu amechaguliwa driver of day more than Hamilton!!!Mwaka huu LH44 alishinda driver of the day katika British Grand Prix