Formula 1® Grand Prix special thread

Mkuu nikitaka kujiunga kwenye mashindano haya nifanye vp kufika huko?
 
Mkuu nikitaka kujiunga kwenye mashindano haya nifanye vp kufika huko?
Everyone can enter the Dakar; the only condition is to be at least 18-years of age. You do not need to be a rally-raid champion to take part. The goal of the Dakar is to have both professionals and amateurs participating in the same rallyand on the same route. Only Bikes and Quads are subject to a selection.(Dakar.com)

Wastani unatakiwa uwe na US$75,000 kushiriki mashindano haya....
 
Mkuu Sio kuhusu Dakar nasemea Formula 1
 
Mkuu Sio kuhusu Dakar nasemea Formula 1
Dah! Hiyo ina process ndefu sana...! Kwanza unatakiwa uwe na kipaji na unaanza kutafuta driving license tokea ukiwa mdogo! Kama upo chini ya miaka nane kwa sasa unaweza siku moja kuja kuendesha gari la F1.

Zaidi ya kipaji, uwe na uchumi mzuri, kwani mafunzo yake ni ya gharama.
 
Sisi wapenzi wa Moto GP tunajificha wapi?
 
Sisi wapenzi wa Moto GP tunajificha wapi?
Pitia hapa...
 
Monaco GP 2021 Qualification.

Ferrari yapata pole position ya kwanza tokea mwaka 2019
 
Monaco GP 2021: Results.
  1. Verstappen
  2. Sainz Jr.
  3. Norris
  4. Perez
  5. Vettel
  6. Gasly
  7. Hamilton
  8. Stroll
  9. Ocon
  10. Giovinazzi
 
Bottas naona kama huwa hana bahati na hasa kwenye hiyo team Mercedes

Ahame wapi ataenda atakuwa analipwa kama Mercedes milioni 15 kwa mwaka? Na ni top team zote washajiweka tayari na madereva wao namba 2.ferrari ana carlos sainz,Red Bull nao ndiyo wana Sergio perez mkataba wa mwaka mmoja ila sidhani wanaweza kumpa ofa botas.botas ni mmoja wa dereva namba mbili bora kwa sasa anaifanya vyema kazi yake ya kumlinda Lewis.kwa formula one ya sasa dereva namba mbili kazi yake ni kufanya ulinzi au aisaidie timu kupata point ila siyo kumsumbua dereva namba moja.
 
Ahame Timu, japo Monaco barabara zao ukitereza kidogo hutaweza mpita aliyekuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kwake kupata team nzuri kwa sasa zaidi ya kurudi kwenye team yake ya awali Williams...

Ila kawatolea uvivu viongozi wake na mafundi wake kwa kadhia hiyo...
 
Ila kuna wakati alikua anamzingua Ham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…