Formula 1® Grand Prix special thread

basi ten L. hamilton raceyake imeharibika. Drive through penalty. na intemediate walizoweka ...... mradi wasishinde Redbull
 
Huyu dogo mzururzji nae! kumbe likuwa n call yake mwenyewe kuchange to intermediate

Kajiharibia hana wa kumlaumu. atabaki analalamika na drive through penalty . lakini call yake ya tairi ndo imempotezea ushindi.
 
Hez so reckless!! flippin HELL! i think Kobayashi was right to challenge him tho', him Hamilton supposed to watch his mirrors! again my weekend has been ruined by this joyrider!
 
Vettel ashinda tena.......

Michael Schumacher took fifth on the 20th anniversary of his F1 debut, recovering strongly from the back of the grid and one place ahead of team-mate Nico Rosberg, who led the race early on after a superb start.
 
Hamilton nampenda mpaka nashindwa kumtetea sasa hateteki dah inanifanya ananifanya mpaka nguvu za kuja humu kutype zimeisha grrrrrrrrrr!!!!!!! Ferari wanajitahidi Vattel ndio ishatoka watu labda kama wanashindana kutokea wa pili. Hamilton kilichobaki awe anarekebisha makosa yake na asijione anaonewa yeye a move on sababu uonevu utakuwepo tu afanye bidii zake na kuwa makini.
 
Cheki hapo chini anavyojitetea......

 
anajipa moyo wakujidanganya hata akija kushinda basi labda race mbili tu au 3 mpaka mashindano kuisha. unajuwa unapohojiwa ukiharibu binadamu lazima utafute sababu.
 
Weekend hii yenye Majonzi makubwa kwa ndugu zetu wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, F1 itakuwepo huko Monza!
 
Italian Grand Prix qualifying

1-Sebastian Vettel - Red Bull
2-Lewis Hamilton - McLaren
3-Jenson Button - McLaren
 
hivyo Vettel,Alonso,Hamilton na schumacher wakipewa gari yenye specification mmoja katika kila aspect nani angeweza kuchukua ubingwa at the end of the season
 
Italian Grand Prix-Result

Sebastian Vessel -Red Bull

Jenson Button - McLaren

Fernando Alonso-Ferrari
 
hivyo Vettel,Alonso,Hamilton na schumacher wakipewa gari yenye specification mmoja katika kila aspect nani angeweza kuchukua ubingwa at the end of the season
Definitely Schumacher, Umeona jinsi alivyoweza kumtoa kamasi Hamilton!
 
Definitely Schumacher, Umeona jinsi alivyoweza kumtoa kamasi Hamilton!

Tehtehteh naweza kusema hivyo ila Hamilton hakutaka kufanya fujo alafu wakagongana kashachoka kutokumaliza, Schumacher alikuwa anaendesha kwa chuki zake binafsi ukitizama vizuri pale alivyomuharibia hamilton ikabidi akae pembeni kwa muda Button alipita japo wanasema alimuonesha Hamilton namna ya kupita ila Button aliachiwa kabisa na Schumacher huku Schumacher anamsubiri Hamilton kwa ujumla Schumacher alikuwa ana slow down kwa kukaba sio kwenda Mbele. Hamilton kashaanza kuwa na wasiwasi na baazi ya Driver kuwapita kama Vettel alivyompita Alonso. Schumacher yupo kwaajili ya Vettel ashinde. Schumacher rahisi kufanya kitu kwake sababu yeye kutokea wa 3 sasa hivi ni kama 1. ila Hamilton naye apate watu wakuwasikiliza na yeye kusikilizwa kama Ron Dennis.
 

Kheeeee heeee heee ....Eeeh! Hapo kwenye bold pamenichekesha sana! Anyway nahisi huo ni mtazamo wako tu!

Hamilton jana alikuwa ameishiwa mbinu ya kumpita Schumi, kwani mpambano ule ulidumu kwa lap 15 hivi, mpaka mabosi wa Schumi wakaingilia kati kwa kumtaka Schumi ampe nafasi Hamilton! Kwa kifupi jana Schumi alijikumbushia jinsi alivyokuwa akodrive kabla ya kustaafu! na mpambano ule ulitoa mvuto wa aina yake katika race ya jana ukiondoa overtake ya Vettel kwa Alonso!



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…