Kumekauka huku siku hizi... Massa naona analalamika sana ana chuki kwenye damu tu hamna lolote.. Hamilton ile hakutakiwa hata kupigwa penalt.. kuna mengi yalitokea ila hayaongelewi kama Michael Shu wenu sababu tu kapata ajali haijaongelewa sasa inatofauti gani pale na alichofanya hamilton? Hamilton kapita pembeni imegusa bila kutaka kumgusa Massa, zaidi ya hapo Vettel sasa hivi nimemkubali ni mkali bilau bishi dogo mkali. Massa hana anachofanya uwanjani anatafuta sababu zengine, Pale ni Mwakani walewale Vettel akifuatiwa labda kwa pamoja Alonso na Hamilton Then Webber then wengine ndio Massa na kina Michael Shumacher anaendesha kwa kupenda ku drive ipo kwenye damu yake.