Formula 1® Grand Prix special thread

Lewis Hamilton wins the Spanish GP! Wow oh wow was that close! The Englishman hangs on for the victory to take the lead of the World Championship #TeamHamilton

cc: BelindaJacob Mourinho Kibunango

Mkuu kwanza hongera kwa ushindi wa #TeamHamilton , nimeangalizia GP ya leo sehemu haikuwa na network nzuri nikashindwa kabisa kushiriki hupa jamvini kikamilifu.

Hamilton pamoja na gari yake kuwa na matatizo yaliyosababisha Rosberg kumkaribia sana kwenye laps za mwisho kaonesha ukomavu wa hali ya juu, kanifurahisha sana leo yaani sana tu.

Next up, Monaco GP
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa Kimi, kwa bad choice of matairi katika last pit imekukost mbaya...

Ferrari wameanza mambo ya Redbull? Kwanini leo wameonesha wazi wazi kabisa kumfeva Alonso?

"Alonso passed Raikkonen on fresher tyres in the closing stages in Spain on the back of a three-stop strategy, having earlier pitted before the Finn despite running behind Raikkonen on the road.
Usually priority is given to the man running first, and at the end of the race Raikkonen asked on the radio "who made these calls?" complaining that he was receiving "second choice", and also walked away from TV interviews when asked about the strategy. Raikkonen admits he was confused by Ferrari's decision-making.

cc: RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Timu zengine zitazijua wenyewe ila pia kila timu inahaki na vipi wanataka timu ayo iende vipi au wafanye nini na nani awe bora kwao ili ushindi upatikane zaidi ya hapo muhimu kwangu Hamilton afanye vizuri na endelee vizuri Kabla huko Mbele wasimtafutie sababu Leo Rosberg hakuwa mbali ila kijana namuaminia kwenye ubishi hapitwi ovyo wala hasubiri kupendelewa sababu analijua hapendelewi anafanya kweli Vattel asipotizama Kule juu hata nafasi za Tatu(3) hatogusa ataziona home kwenye TV tu. Go Hamilton!
 

duh sasa hivi mmoja wao atakimbia timu...kwanza kuna rumors alonso anataka kwenda mercedes na adrian newey mtaalam wa redbull anataka kuingia ferrari...huyu jamaa akija ferrari hapo itakuwa balaa....
 
duh sasa hivi mmoja wao atakimbia timu...kwanza kuna rumors alonso anataka kwenda mercedes na adrian newey mtaalam wa redbull anataka kuingia ferrari...huyu jamaa akija ferrari hapo itakuwa balaa....

Alonso akienda Mercedes meaning Rosberg will make way? na wakikutana na Hamilton si yatakua ya Webber Vs Vettel?

Endapo Ferrari watampata Adrian Newey basi watatakata sana, hicho kichwa hapana chezea kabisa
 
kajibizana sana na race engineer wake....anataka kujua ni wapi alikuwa anapoteza time yake mpaka rosberg anamkaribia.

Hata alivyomaliza jamaaa akampa pongezi lakini Hamilton hakumjibu, kwa kweli hata mimi sikupenda waliomfanyia leo na hata pit stops zake, zilichukua muda sana leo, kuna moja alikaa almost 4.8 sec

Nilifurahi kumuona Rosberg baada ya race, mkoloni alikua mwekunduu, na bado teh teh teh teh 😄😄😄
Na jinsi alivyokua slowly kwenye kuanza race, ajiangalie Monaco anaweza hata hiyo nafasi ya pili asipate
 

the car is too fast,hawezi kukosa nafasi ya pili....hii hadi season inaisha hamna gari itawafikia mercedes kwa settings zao just imagine hata mclaren wanatumia engine moja lakini wameachwa mbali.

alonso atakuja hapo ili watengeneze dream team na hamilton


Ferrari, who are believed to have made a blank-cheque offer to Red Bull Technical Director Adrian Newey, had hoped to close the gap to Mercedes in Spain, but instead found themselves behind not only the pacesetters, but also the two Red Bulls and Bottas' Williams, with Alonso and Kimi Raikkonen fighting over sixth and seventh.[sky f1]
 

Wasiwasi wangu ni the way alivyokua slowly kwenye kulianzisha, circuit ya Monaco ku-overtake ni ishu mzee, akizubaa watu wakakaa mbele yake atajicheki, gia mwisho 6 kule na hakuna DRS zone(s)
 
Wasiwasi wangu ni the way alivyokua slowly kwenye kulianzisha, circuit ya Monaco ku-overtake ni ishu mzee, akizubaa watu wakakaa mbele yake atajicheki, gia mwisho 6 kule na hakuna DRS zone(s)

mercedes is just too quick! over 1sec per lap than the rest......hii itambeba hata awe slowest from the grid....leo wangeongeza lap 4/5 hamilton angepitwa.
 
Formula1 kumekucha Marcedes sasa hivi watagombana Rosberg kafanya kusudi kumuharibia Hamilton Pole position urafiki utakufa kwenye kazi Kama kitu vipo mnaweza kupata wote naamini mtashirikiana ila Kama kitu mnatakiwa mkishindanie kila mtu apate kivyake sizani mtu Kama atakuwa fair so nachosema Mie play dirty kwenye formula 1 sio kitu kibaya ubaya unakuja akifanya Hamilton watu wanakuja juu utaona viongozi wa F1 au ma dereva na social media zinamjia juu Hamilton wakifanya wengine kimya itasemwa kidogo na watasema hata Hamilton hi fanya hivyo. Monaco mtu akianza moja sio rahisi kumpita labda wanyuma kugongana.
 
I can't wait for tomorrow's show ... ... ... Hamilton is fired up for the task.
 

kwa kweli ROSBERG kafanya blunder ambayo imemfanya HAMILTON asipate pole position, lakini ni ngumu kusema kuwa it was a deliberate mistake....all in all Hamilton is not happy...kitu kizuri ni kuwa rosberg hajapata pole kwa kuwa superior ila kwa mbinu chafu...hamilton is still quicker than him,kesho kazi ipo!!

rosberg amesaini contract hadi 2016 kwahio bado yupo sana.
 
here is the clarification.....
cc: Pazi Mourinho Kibunango BelindaJacob

Nico Rosberg has been cleared to start the Monaco GP from pole position after stewards found no evidence that he deliberately steered off course at the conclusion of qualifying in order to beat Lewis Hamilton.
Fractionally faster than his Mercedes team-mate after their first runs in Q3, Rosberg brought out the yellow flags in the final seconds of the top-ten shoot-out when he missed his braking point into Mirabeau and slithered down the escape road before reversing back on track.


Hamilton tight-lipped

Hamilton, on a faster final run after being the last driver to cross the line before the chequered flag fell, then had to abort his lap, leaving Rosberg secure in pole.
The controversial circumstances of Rosberg's pole position were then placed under official investigation by the Monaco stewards but, after three hours of deliberation, it was deemed that the German should be permitted to start the race from the front of the field.

Rosberg on pole in Monaco

'The stewards examined video and telemetry data from the team and FIA and could find no evidence of any offence related to the Turn 5 incident,' a statement declared.
It's understood that Rosberg's decision to reverse his W05 on to the track wasn't discussed in the hearing as the sport's regulations only forbid a car from reversing into the pitlane.

Now the question waiting to be asked - most immediately, at the first corner of Sunday's race - is whether the incident will put Rosberg and Hamilton's friendship into sharp reverse as well.


hii kitu angefanya HAMILTON ungeona jinsi F1 fatcats ambavyo wangemshukia Hamilton....mtu ka-reverse back onto the track kitu ambacho hakiruhusiwi still wanasema hamna kosa!!!
 
Last edited by a moderator:
RRONDO umeamini sasa maneno yangu na wamesema Hivyo kusudi Hamilton aonekane mbinafsi wakuona anaonewa Keesho ndio tutajuwa Kosa akifanya Hamilton mambo yanakuwa vengine Hamilton sasa hivi a tizama yake Team Hamilton.
 
RRONDO inawezekana kabisa Rosberg hakuingia 'chaka' makusudi, lakini kwanini alianza kurudi reverse akijua mwenzake yuko nyuma yake kwa mita chache tu?

Me nakubaliana na Pazi kwa asilimia nyingi tu, halafu kama Rosberg hakufanya makusudi, why the wild celebration at the end of the session?
Kaniuzi sana huyo mpuuzi leo, bahati yake Hamilton ni mstaarabu sana
 
Last edited by a moderator:
RRONDO umeamini sasa maneno yangu na wamesema Hivyo kusudi Hamilton aonekane mbinafsi wakuona anaonewa Keesho ndio tutajuwa Kosa akifanya Hamilton mambo yanakuwa vengine Hamilton sasa hivi a tizama yake Team Hamilton.

kwa jinsi Rosberg alivyoshangilia ni wazi alifanya kusudi akijua yellow flags zitatokea lakini kahakikisha haonekani kama ni blunder ya makusudi,ila hawezi kushinda kwa mbinu chafu....na ataachwa na Hamilton kwenye take off
 

nilichomaanisha ni ngumu kumtia hatiani kuwa kafanya kusudi ila naamini alijua anachokifanya,kafanya kusudi na team mercedes wanajua hilo ila wanajaribu kuwa diplomatic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…