What goes around comes what? Watu weweeeeeee asije tu na Hamilton kumkuta Bundi wa kibunango kakosea gari yamefanana hehehe.
Harufu ya podium inanukia, Team Ferrari, Hawa Mercedes wamemfanyia njama Rosberg
Williams, force India na mclaren wanatumia engines za mercedessuperiority ya mercedes inazidi kuonekana...last race hamilton alianza wa tisa[?] akamaliza wa pili,leo kaanza wa sita kamaliza wa kwanza...ili timu ingine yoyote ishinde inabidi mercedes zisiwepo kwenye race[ziharibike]
Mzee maneno hayo, maneno hayo! Fitna hata kwenye pit hapo si umeona zilimlenga Hamilton? Wacha mkoloni nae leo awe mtazamaji
Nimefurahi sana Leo nico nae a feel the same way mwenzake akiharibikiwa
Hamilton is the best driver
Williams, force India na mclaren wanatumia engines za mercedes
Wakati mkiendelea kumsifia Hamilton, napenda mkumbuke overtake ya Alonso kwa Vettel. Overtake hii ndio iliyokuwa bora kwa siku ya jana.
Hapa chini ni details zake...
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Speed[/TD]
[TD]293Km/h[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gear[/TD]
[TD]7th[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Risk[/TD]
[TD]High[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Adrenaline[/TD]
[TD]Max[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Aidha, Alonso mwenyewe amekiri kuwa sio rahisi tena kurudia overtake hiyo.
Ila tumekosa uhondo, kwa kasi aliyokua anaenda nayo Hamilton race ingeisha vizuri sana kama mkoloni asingepata matatizo