Mbu, hiyo ni ya kichina...😀
Cha kushangaza ni kwamba hiyo team ya Milton Keynes imeshinda bila ya kuwa na diffuser kama za Brawn na wanategemea wakifika raundi ya Ulaya watakuwa na double diffuser zao. Hii inamaanisha kuwa japo Ferrari walilalamikia diffuser ukweli wa mambo kuna zaidi ya ilo katika magari yao mwaka huu.
Yeah! nakubaliana na hilo, hebu subiri mbio za Jangwani kabla ya kuhitimisha hilo, najua pande la Ulaya litakuwa na mtizamo tofauti!KIBUNANGO,nadhani unaelewa fika kwamba the moment it rains in F1,any tom, dick and harry can win-mark my words hao red bull this could be their only win this season
na wewe belinda,what do you see in this guy button?
Hatimae Ferrari wameanza kuokota pointiKimi Raikkonen:
"I am happy to have picked up a few points but I can't be that pleased with our performance level. I've been around long enough not to get very excited about a sixth place. We are well aware we have to improve. In theory, the new package we will have in Barcelona should see us make a good step forward, but we won't know just how big it will be compared to the others until we are on track in Spain. Today, we got the most out of the F60's current potential, even if I lost a bit of time in my final pit stop because of a problem with a part of the fairing on the left front wheel which cost me the chance of exiting pit lane ahead of Barrichello."
SOA!
Hamna jinsi,mshindi ni mshindi hata kama sitaki. I wish McLaren's driver(Hamilton) could win, he is the one making me watch F1 but season hii ameanza vibaya.
Huyo Button kwasababu kashinda tu but I dont see anything in him.Ila this guy rules, 4 grand prix kashinda 3 of them so far! grrrrrrrr.
Hamilton and Massa are my favourite!
BELINDA,in football huwezi shabikia both yanga and simba,na in F1 its the same you are either with ferrari or McLaren but not both.By the way nimeona somewhere in the forum umemshauri jamaa how to get ron kennoly'songs,is you a born again christian-just curious to know
You are right!Kwenye ushabiki unabidi uwe kati ya pande zilizopo huwezi kuwa kotekote(neutral). Kwenye F1, McLaren ndo zaidi kwakweli.
Oh!kuhusu hizo gospel nyimbo,napenda kusikiliza sana. I am not a born again christian. I believe in praising if not worshipping kwa nyimbo za dini na message zake. Nilikuwa kwenye kwaya fulani zamani kidogo!
Wewe F1 nani unamshabikia? Button au Trulli?
mimi ni team FERRARI damu,whoever wins so long as it is ferrari.umenisurprise kidogo i never knew members of the opposite sex loved F1 cause of the complex nature of the sports