Formula 1® Grand Prix special thread

Scarcely a second now covers the top three. Eight laps still on the clock.
 
Mclaren, redbull, na williams ni za uk

Correction mkuu:
Red bull engine ni Renault ya France team base yao iko Austria
Williams na McLaren wanatumia Merecedes engine ya Ujerumani hata km wacko based Uk
 
Anagongwa mtu hapa katika hawa wa tatu Hamilton Break nyingi Inatisha.
 
Rosberg was three seconds quicker than the top three last time around. Provided he can maintain this pace, he'll catch Ricciardo, Hamilton and Alonso before the end at this rate..
 
duh lh44 ana chemsha leo....fresh tyre za ricciado na rosberg zinapay
 
goood boy......from pit to podium......kweli rosberg bado sana yaani mtu anaanza pitlane then anakupita!!!
 
Hongera kwa Ricciardo, huyu dogo ni next Lewis Hamilton, pongezi za nguvu kwa Hamilton anaendelea kuwatia aibu wakoloni na mkoloni wao Nico
 
Welldone Ricciardo! Sio mbaya tunaomba mungu Hamilton asiwe anaanza wa mwisho kutoka mwisho Kuwa wa 3 si kitu rahisi.
 
Kajitahidi kusema kweli, lakini siku haikuwa yake.

Welldone Ricciardo! Sio mbaya tunaomba mungu Hamilton asiwe anaanza wa mwisho kutoka mwisho Kuwa wa 3 si kitu rahisi.
 
Hukukosea Mkuu.

Nimeanza kumpenda sana huyu bwana mdogo, zile overtake kawafanyia wakongwe Hamilton na Alonso zilikua za kiwango cha juu sana, hata Rosberg hawezi kuzipiga zile. Lakini man of the match kama kawa Lewis Hamilton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…