Formula 1® Grand Prix special thread

Hamilton wins after last minute brake problem, congrats!
 
Toto says the brakes for NR and LH were gone one more lap Kimmi would have won ... .
 





Mercedes driver Lewis Hamilton holds the trophy after winning the Bahrain Formula One Grand Prix Bahrain International Circuit in Sakhir




Scuderia Ferrari Finnish driver Kimi Raikkonen, who finished second, applauds race winner Hamilton following his victory in Bahrain


Jicho la husda kutoka kwa NR na KR ... ... ding dong .... .
 
Nimerudi jamani nilikuwa nyumbani ni nyumbani bongo, busy hata Humu haupati muda ila sasa Tupo pamoja TeamHamilton and Raikenen naenda na Drivers. Safari hii Hamilton Hana wasiwasi Hamu yake kubwa ilikuwa mwaka uliopita.
 
Mkuu reports zako zimekaa vyema sana

Asante kwa updates

Karibu sana mkuu tunangoja week-end hii tuone mambo ya kule Spain .... .... .... .

Mwaka huu mkoloni atakufa kwa wivu, ........uso kama ngozi ya goti

NR in big trouble, pamoja na ile aggressive driving bado alikuwa ametimuliwa vumbi na kijana kutoka Stevenage LH .... ......

Nimerudi jamani nilikuwa nyumbani ni nyumbani bongo, busy hata Humu haupati muda ila sasa Tupo pamoja TeamHamilton and Raikenen naenda na Drivers. Safari hii Hamilton Hana wasiwasi Hamu yake kubwa ilikuwa mwaka uliopita.

Habari za bongo natumai uli-enjoy na kuona umasikini wetu wakati viongozi wanafuja pesa za walipa kodi .. ... ..
 
Ulichoniuliza ndio nilichoona nafikiri wananchi nao wanapenda kuburuzwa ndomana wakikaa wanafikiria leo tuwalie pesa vipi nimewacha waendesha Ma bus wakasome, TENA na kila mtu alipe Laki 5 za tzsh watazitoa wapi? Matokeo yake ma bus yamegoma watu wamelala vituoni, utafikiri majumba ni kwao Hawana familia za kwenda kuwalisha.
 


Lewis Hamilton - tops the Sunday Times rich list again



Lewis Hamilton is top of the 2015 Sunday Times
Sport Rich List with a fortune of £88million



Hamilton and actress Olivia Munn film scenes in Rome for Zoolander 2 on Friday

The scene seems to show the celebrities and fashionistas
have gathered to watch Zoolander's latest show

Hamilton and Munn happily chatted and checked out
each other's phones in between takes

 
Wakuu practice leo imeendaje?

Hadi juzi LH alikuwa anakula kuku LA na mdogo wake .. ..... .... ..

Lewis Hamilton gears up for Spanish Grand Prix by taking younger brother Nicolas for a ride out in Los Angeles in his Shelby Cobra


  • Lewis Hamilton has been out in LA ahead of the fifth race of the season
  • Hamilton chauffeured younger brother Nicolas around town in his Cobra
  • Mercedes driver has won three of his four races this calendar year
  • Reigning champion heading to Santa Monica ahead of Spanish Grand Prix
  • Nicolas Hamilton preparing for the British Touring Car Championship



Nicolas Hamilton takes a selfie with his brother Lewis
whilst the pair take a ride in the LA sunshine








The Hamilton brothers enjoy some down time

on one of LA's freeways ahead of a busy schedule of racing





Boy racers Lewis and Nicolas Hamilton (right) in the Mercedes garage

BTW Mambo ya Catalunya ni kuanzia 8th - 10th May ..... ...
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…