its Nico Roseberg he worked hard ila kwangu hii ni mercedes doin to isingekuwa mechanical failure ya LH in spa tungekuwa tunaongelea mengine
true said mkuuMkuu siyo SPA tu tatizo kubwa lililomuua Lewis ni malaysia.mwaka huu pia amepatwa matatizo ambayo kwenye formular one yanakucoast mwisho wa msimu.sekunde moja kwenye formular one ni nyingi sana na inabadilisha matokeo.Hamilton akaze buti tu nafasi ipo ila siyo fair kwa mercedes mara zote. Kama umeona leo team radio leo wote wanamlaumu Hamilton eti alikuwa anaendesha gari slow ili wakutane karibu na wale wengine.
Ni kweli kabisa Lewis leo amecheza mchezo mchafu, hata hivyo hilo ni rahisi kueleweka kwani näe alikuwa anautaka ubingwa vilevile!..... Kama umeona leo team radio leo wote wanamlaumu Hamilton eti alikuwa anaendesha gari slow ili wakutane karibu na wale wengine.
Ni kweli kabisa Lewis leo amecheza mchezo mchafu, hata hivyo hilo ni rahisi kueleweka kwani näe alikuwa anautaka ubingwa vilevile!
Binafsi nilipenda jinsi alivyompa wakati mgumu Rosberg na hasa katika lap 15 za mwisho !
LH anawanyima watu raha NR kaamua yaishe na kukimbia menyewe khe khe khe keh keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hakuna habari za ndani juu yake, kwani familia yake imeweka issue nzima kuwa private....
Hapana shaka anaendelea vizuri!