Formular ya jinsi ya kuporomoka maghorofa (Kariakoo na kwingineko)

Formular ya jinsi ya kuporomoka maghorofa (Kariakoo na kwingineko)

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami.
Iko hivi;

Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa

Assumptions;
Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo

Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala Mipango Miji- wapitishao vibali vya ujenzi juu kwa juu

Fundi Maiko-kibarua wa siku nyingi wa ujenzi mwenye hadhi ya uhandisi( alimjemgea Massawe na Sanga)
Maafa- matokeo ya uzembe wa serikali.

Hii formula itawasaidia sana ile kamati iliyoundwa kuchunguza kuporomoka kwa jengo.

Kamati wanalo jibu tayari , maafa , na mhusika mkuu akiwa ni serikali.
 
Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala
Miango Miji- wapitishao vibali vya ujenzi juu kwa juu
Fundi Maiko-kibarua wa siku nyingi wa ujenzi mwenye hadhi ya uhandisi( alimjemgea Massawe na Sanga)
Maafa- matokeo ya uzembe wa serikali.

Hii formula itawasaidia sana ile kamati iliyoundwa kuchunguza kuporomoka kwa jengo.
Kamati wanalo jibu tayari , maafa , na mhusika mkuu akiwa ni serikali.
Tunaiga mambo meengi lakini hili la ujenzi salama, na mpangilio tulishindwa siku nyingi sana. Yani huko mitaani kuna ma-site engineer hata hawajafika VETA lakini ujuaji mwiingi.

Vibali vya ujenzi vinatolewa na baraza la madiwani-hawa wa CCM, hata kusoma ramani hawajui, mipango miji hawana kazi, wenyeviti wa serikali za mitaa ndio wamekuwa mipango miji.

Ukipita azikiwe maarufu kama posta, utakuta ramani za nyumba kibao zimemwagwa chini zinauzwa, wachoraji hata sio wataalam, na wengi huzitumia na kujenga majumba.

Tatizo kila kitu kinaongozwa na wanasiasa hata siyo wataaluma wa eneo lolote, lakini ndio hutoa maamuzi ya kila kitu.

Nitarudia tena kusema, Kwanini Jenista Mhagama ni Waziri wa AFYA, au Kwanini Ummy Mwalimu alikuwa Waziri wa Afya?
 
Kuna hii formula nyingine....
Fundi Maiko = Dalali = Architect = Consultant + Engineer = Maafa
1. Mtu anaanza kama fundi Maiko. Anapiga kazi anazoeleka hasa kama kazi anazipata kwenye eneo moja. Anakuwa maarufu halafu kwa kuwa yupo site na contacts za wenye nyumba zilizoisha, wapangaji wanamkuta site na kuwaunganisha na wenye nyumba. Tayari anageuka dalalali.
2. Dalali anaendelea na kazi ya ufundi maiko, sasa ana advantage ya kujua wapangaji wanataka nyumba ikae vipi. Tayari anageuka Architect. Fundi Mshauri na safari inaendelea.
3. Fundi Mshauri mwenye mteja kwenye database yake anarudi kwa Landlord na new architectural plan kama Consultant na hapo hapo Engineer kufanya maboresho ya nyumba za awali.
4. Anaua check and balance za Engineer Vs Consultant hapo ndipo matakwa ya mteja yanapozidi utaalamu na maafa yanakuja.
 
Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami.
Iko hivi;

Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa

Assumptions;
Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo

Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala Mipango Miji- wapitishao vibali vya ujenzi juu kwa juu

Fundi Maiko-kibarua wa siku nyingi wa ujenzi mwenye hadhi ya uhandisi( alimjemgea Massawe na Sanga)
Maafa- matokeo ya uzembe wa serikali.

Hii formula itawasaidia sana ile kamati iliyoundwa kuchunguza kuporomoka kwa jengo.

Kamati wanalo jibu tayari , maafa , na mhusika mkuu akiwa ni serikali.
Fundi Maiko noma!
 
Back
Top Bottom