Formular ya kutengeneza chakula cha kuku (Broiler Starter)

theriogenology

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
8,748
Reaction score
15,681


Kwa formular nyingine za chakula cha kuku waweza ni PM tukazungumza friendly bila tatizo.

Maana kila formular moja ya chakula cha kuku iko na option 4. (Hapo juu ni option moja wapo ya broiler starter)

Kama upo na swali waweza uliza nitakusaidia.

Karibuni sana.
 
Huku kutudanganya mkuu. Hii ni kwa ajiri ya viwandani na sio kwa mimi mfugaji mkuu

Embu rahisisha maelezo ambae hata mimi naweza elewa

lakino hapo unataka watu wa namna gani ndio wakuelewe
 
Hiyo excel copy ya formula siyo rahisi kueleweka kwa mfugaji wa kawaida.

Rahisi mpe formula ya kutengeza km 100kg ya chakula cha kuku kinahitajika xxkg (mashudu, pumba, paraza, madini, vitamin, nk)
Anyway hapo kitu cha muhimu ni kuangalia upande wa kg ataelewa hayo madude mengine hayana umuhimu kwake mkuu...

Karibu sana...
 
Huku kutudanganya mkuu
Hii ni kwa ajiri ya viwandani na sio kwa mimi mfugaji mkuu

Embu rahisisha maelezo ambae hata mimi naweza elewa

lakino hapo unataka watu wa namna gani ndio wakuelewe
Kwa mkulima hapo inabidi aangalie column ya kwanza kabisa yenye kg... hayo mambo mengine hayana umuhimu kwake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…