Bila kujimwambafai kama unavyosema usingenijua, ulichonacho hakinizuii kutangaza changu...wakandarasi wa kibongo fitina tu.Unajimwambafaaaiiiiii
Ungekua kama mimi sijui ungefanyaje?
Napatikikana ukonga kivule
0753110858View attachment 1368903View attachment 1368905View attachment 1368909
Sent using Jamii Forums mobile app
Shirima mchawi sijui kwani asianzishe uzi wake!Bila kujimwambafai kama unavyosema usingenijua, ulichonacho hakinizuii kutangaza changu...wakandarasi wa kibongo fitina tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
dahh, ingekuwa busara kuanzisha uzi wako, biashara siyo vita mkuuUnajimwambafaaaiiiiii
Ungekua kama mimi sijui ungefanyaje?
Napatikikana ukonga kivule
0753110858View attachment 1368903View attachment 1368905View attachment 1368909
Sent using Jamii Forums mobile app