kelvinlewis
JF-Expert Member
- Jan 8, 2018
- 308
- 206
Nami pia nmezurura kdogo na kupata history ya hapa na pale katika Africa, asante Mungu kwa hicho kidogo ambacho ushanijalia; naamini kabsa wapo wengi ujawabariki kupata story na kuona kwa macho vitu va zamani zaidi.
Fort Jesus Mombasa ni zaidi ya kumbukumbu muhimu zaidi iliyobaki africa na zama za utumwa Africa.
Niliambiwa imejengwa mwaka 1593 na msanifu Geovanni Battista Cairasto kwa niaba ya Wareno na ilijengwa kwa kuchongwa na watumwa na ilichukuwa zaidi ya miaka mia na zaidi mpaka kujamilika kwake.