kelvinlewis
JF-Expert Member
- Jan 8, 2018
- 308
- 206
Ndo apo mungu kajijalia kufika mkuu kwingine bado japo napenda sanaLakini na wewe na Africa yako ya Mombasa
Fort jesus ina listory lirefu kila eneo ni historia kwene ilo jumbaMbona historia hii haujaitendea haki?
Unaandika kifupi namna hii kama upo Fb!
Ukitaka kuandika historia , chimbua hasa ueleweke vizuri, historia yako ni nzuri sana hii.
Sawa kiongizi niliandika kiufupi tu coz mambo mengine ckuyakumbuka na baadhi ya pcha zilipotea ndo mana ikawa ivo sema sorry wakati mwingine nitajitahid kuelezea vizuriMbona historia hii haujaitendea haki?
Unaandika kifupi namna hii kama upo Fb!
Ukitaka kuandika historia , chimbua hasa ueleweke vizuri, historia yako ni nzuri sana hii.
Sawa mkuu ni sehemu nzuri sana kihistoria kwa East AfricaNimefika hapo 2003
Hujaijua JF, ipo siku utataman usingejianikaga, nakupa muda tu.Sasa mkuu sawa mm sio mwarifu wa kusema nijifiche najifichia nn asa soma ukielewa basi usipoelewa pia piga chini sehemu za kihistoria zipo nyingi sana duniani ata iyo BAGAMOYO yako ni ya for tuu usipende kudharau vitu va watu
Sawa mkuu kwa mawazo yako nitarekebisha akin kuna picha kbao za watu humu.Hujaijua jF, ipo siku utataman usingejianikaga..nakupa muda tu
Asante Sana kwa picha wengine tumeishia kusoma kwa nadharia tu darasani na kwenye vitabu vya historia hatujawahi kufika maeneo hayo nimejifunza kitu kwa mtazamo chanya.Cha kuongezea ngome hiyo ya FourtJesus ilijengwa karne ya 15 na wareno baada ya kuondelewa kwa waarabu eneo la Mombasa nchini Kenya,wareno walivutiwa na mji huo ukikuwa maarufu kwa biashara.
Mreno aliyeitwa Vasco da Gama ndiye aliyetia timu maeneo hayo baadaye waarabu walipata msaada wa majeshi kutoka kwa Alli Bey huyu alikuwa mmisri pamoja na wenyeji waliangusha utawala wa wareno katika Vita hiyo ngome yao hiyo ya wareno ilivunjwa mwaka 1698 na waarabu.Baada ya wareno kushindwa Vita hiyo walikimbimbilia Msumbiji ambako walitawala kwa miaka mingi.
Msumbiji ilikuja kupata Uhuru kwa njia ya Vita vya msituni kiongozi wake akiwa ni Samola Michael akiongoza chama Cha FRELIMO kuwaondoa wareno haikuwa kazi ndogo ilibidi Tanzania itoe msaada wa kijeshi kwenda kung'oa utawala wa kireno.hatimaye mwaka 1975 Msumbiji ikapata uhuru wake, nimesimulia kwa uchache tu yapo mengi zaidi ya haya.
Mkuu ni kweli ulitoa machozi?Asante sana mkuu kwa maelezo yako mazuri ya nyongeza ni Kweli kabisa na Mimi nilisimuliwa ivo ivo na watu waliokuwa wakininyesha jengo iloo kiukweli lina historia nzuri sana niliweza hadi kutoa machoz pale nilipoonyesha minyororo ya zamani ambayo walifungiwa watumwa ndani ya jengo hilo kama jela asee inatia sana huruma
Kwa kumbukumbu zangu da nilivoona nyororo zileeMkuu ni kweli ulitoa machozi?
Sorry ya nini sasa erooSawa kiongizi niliandika kiufupi tu coz mambo mengine ckuyakumbuka na baadhi ya pcha zilipotea ndo mana ikawa ivo sema sorry wakati mwingine nitajitahid kuelezea vizuri
Mkuu ulilia?Asante sana mkuu kwa maelezo yako mazuri ya nyongeza ni Kweli kabisa na Mimi nilisimuliwa ivo ivo na watu waliokuwa wakininyesha jengo iloo kiukweli lina historia nzuri sana niliweza hadi kutoa machoz pale nilipoonyesha minyororo ya zamani ambayo walifungiwa watumwa ndani ya jengo hilo kama jela asee inatia sana huruma
Mwamba ni emotional kinoma, hata maandishi yake.Mkuu ni kweli ulitoa machozi?