Mkuu heshima mbele, umekuwa too general to digest kwenye hoja yako, vipi vigezo vya kuwa mkongwe wa jf?Wana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze
Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe kule juu bolded
Wakongwe wenye muda mrefu wakiwa active tangu jf ianzishweMkuu heshima mbele, umekuwa too general to digest kwenye hoja yako, vipi vigezo vya kuwa mkongwe wa jf?
Mimi nilianza jf kama guest 2010,nikajiunga rasmi 2012,jf ilianza 2006 kama sikosei je mimi ni mkongwe humu?Wakongwe wenye muda mrefu wakiwa active tangu jf ianzishwe
Weka mwaka wako wa kujiunga utakuwa verified kutokana na taarifa zako zilizopo jf hasa jina la jf,posts ulipoanza na mwakaMimi nilianza jf kama guest 2010,nikajiunga rasmi 2012,jf ilianza 2006 kama sikosei je mimi ni mkongwe humu?
Uki click jina langu utaona tar, mwezi na mwaka niliojiunga jf, hayo mengine ya kuwa verified and providing more info am not interested, am just comfortable with this anonymous.Weka mwaka wako wa kujiunga utakuwa verified kutokana na taarifa zako zilizopo jf hasa jina la jf,posts ulipoanza na
April 2012Weka mwaka wako wa kujiunga tutaanfalia
Mfano kibajaji 2023
From 2010 nikiwa Sekondary mpaka 2015 nilipokua kitaa baada ya kumaliza chuo ndio nilijoin tupo humu.Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze
Wajomba wenye mashangazi yao wataku-phira kijana, jihadhariAiseee kuna hiyo siku nilichimba mada mbali mbali za kipindi hiko aiseee.
Jf zamani ilikua na mashangazi that is real an unakuta comment inaandikwa kishangazi shangazi kabisa ad mate yanakutoka..
Ila sasa hvi ni laana tupu aisee ukikutana na comment ya bichwa ni matatzo...
Kuna wengine ni wakongwe humu na unaweza jua ni mshangazi kumbe ni faza..
Hii ilinitokea aiseee yule jamaa alinitukana sana ila yote heri...
Kama wewe miaka zaidi 10 asee,,, hata tukisema kuanzia mitano tuu ni ukongwe huo.Mkuu heshima mbele, umekuwa too general to digest kwenye hoja yako, vipi vigezo vya kuwa mkongwe wa jf?
Tupo hostoria mkuu,ilikuwaje na ikaja kuwajeKuna watu wakongwe mpaka ID zao zilipotea database lilopocrash wakaanza upya.
Vijana mnajua database lilicrash?
Database lilicrash ikabidi mabaharia wafanye restore kutoka backup, lakini kuna baadhi ya majina nayatafuta siyaoni nafikiri yalienda na maji.Tupo hostoria mkuu,ilikuwaje na ikaja kuwaje
Brother nakuskiza,Kuna watu wakongwe mpaka ID zao zilipotea database lilopocrash wakaanza upya.
Vijana mnajua database lilicrash?
Hapa sasa JF ndo inapoboa mwamba kashatoa details zote ila mwamba anauliza tena mwaka gani 😁Weka mwaka wako wa kujiunga utakuwa verified kutokana na taarifa zako zilizopo jf hasa jina la jf,posts ulipoanza na mwaka
General instruction kwa kila member kakaHapa sasa JF ndo inapoboa mwamba kashatoa details zote ila mwamba anauliza tena mwaka gani 😁