Gentleman,Wana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze
Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe kule juu bolded
Uliwahi kukutana na "Mama Ntilie, au Kifimbo Cheza?Aiseee kuna hiyo siku nilichimba mada mbali mbali za kipindi hiko aiseee.
Jf zamani ilikua na mashangazi that is real an unakuta comment inaandikwa kishangazi shangazi kabisa ad mate yanakutoka..
Ila sasa hvi ni laana tupu aisee ukikutana na comment ya bichwa ni matatzo...
Kuna wengine ni wakongwe humu na unaweza jua ni mshangazi kumbe ni faza..
Hii ilinitokea aiseee yule jamaa alinitukana sana ila yote heri...
Yeah, vizuri kabisaMimi nilianza jf kama guest 2010,nikajiunga rasmi 2012,jf ilianza 2006 kama sikosei je mimi ni mkongwe humu?
Kama sijakosea, Mama Ntilie 2006 tayari alikuwa mstaafuβ¦..Uliwahi kukutana na "Mama Ntilie, au Kifimbo Cheza?
Sijui kama hawa watu bado Mungu anawapa pumzi au vipi? Akina Mdosi Mzalendo!
Ahaa, kweli JF imetoka mbali sana; na nina hakika tunakoelekea, ndiyo kama inaanza!
Mojawapo Mimi 2007Database lilicrash ikabidi mabaharia wafanye restore kutoka backup, lakini kuna baadhi ya majina nayatafuta siyaoni nafikiri yalienda na maji.
Ungesema ile forum ya wakubwa ingerudishwa ningekuunga mkono maana sioni sababu ya kuifunga ile forum kwani mambo ya kikubwa kila mtu anayajua na hiyo ingewekewa masharti ya kujiungaWana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze
Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe kule juu bolded
Pole sana mkuu.Mojawapo Mimi 2007
Kifimbo cheza ndo alibadili id akajiita faiza foxUliwahi kukutana na "Mama Ntilie, au Kifimbo Cheza?
Sijui kama hawa watu bado Mungu anawapa pumzi au vipi? Akina Mdosi Mzalendo!
Ahaa, kweli JF imetoka mbali sana; na nina hakika tunakoelekea, ndiyo kama inaanza!
Yeye kajiunga JF Disemba, 2024 halafu eti wakongwe wajuane. Ahahahahaha!!Mkuu heshima mbele, umekuwa too general to digest kwenye hoja yako, vipi vigezo vya kuwa mkongwe wa jf?
Kuna Malaria Sugu na wengineo wengi, rip Godoro la comfyKiranga tuanzishe tena ule mjadala wa Mungu yupo ama hayupoπ
Hivi Maji moto na mlango wa uchawi Tanzania kapotelea wapi? Au Mshana Jr. Karithi vibuyu?πππ
Yangu ilienda mazimaNa Mimi ilipotea Kisha ikarudi nikaipotezea
Ingekua unapinga hivi hadi kwa wanawake wa wastaafu wasiwe wanalipwa mishahara na malupulupu kama wanaume zao wakitangulia mbele za haki ungekuwa umeikomboa TANGANYIKA tuitakayo.Gentleman,
ni muhimu kujiepusha na fikra zozote zenye sura ya kibaguzi na kutafuta u special ambao hauna maana yoyote jukwaani ,
ni muhimu zaidi ukongwe wa mwana JF yeyote uwe katika kuandika na kuibua hoja au agenda za kusisimua na kubadili au kuchochea mabadiko ya kifikra, maoni na mitazamo tofauti ya wa dau dhidi ya mambo mballimbali kijamii, kisiasa na kiuchmi na hatimae kuogeza uelewa na ufahamu wa wadau juu ya mambo hayo na kuwaleta pamoja kifikra kama familia ya waTanzania kwa maslahi mapana ya amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote.
ukongwe na majina havina maana yoyote ispokua mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ndio jambo la maana zaidi kuliko kufikiria kujitenga π