Forum: Natafuta kazi wakubwa

Mapujds

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2011
Posts
1,286
Reaction score
128
mimi nimemaliza Ifm nina advanced diploma ya computer science, nina uzoefu wa miaka miwili katika maswala ya video editing kwa kutumia program za ADOBE PREMIUM PRO 3, ULEAD NA PINACLES.Pia ninauzoefu katika maswala ya networking na computer maintanance and upgrading.nina uwezo wa kufundisha topic za multimedia, networking,website development, mathematics na nyingine nyingi.yeyeote ambaye anafahamu sehemu ambayo ninawezakupata kazi ikiwa ni pamoja na kufundisha naomba tuwasiliane niko tayari.tuwasiliane kwa kupitia namba hizi 0655222214, 0768222214 na 0788532827.asante wana jamii.
 
Asante mkubwa nitatuma vyeti vyangu.naomba wengine nanyi mnijulishe sehemu zingine kama tujuavyo soko la ajira ni gumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…