nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Mo Foundation ikiwekwa kwenye jezi full kulalamika kumbe na wewe ulizindua ya kwako iko wapi sasa? Na pafyumu ulizowadhulumu wahusika milioni 37 ziko wapi?
Akizungumza wakati anaingia ukumbini hapo, Manara amesema umefika wakati wa yeye kutumia jina lake vizuri ili kujiingizia kipato na si kukaa tu kufurahia kuandikwa magazetini au kubweteka tu akiiongelea Simba.
VIDEO: HAJI MANARA AFUNGUKA JINGINE KUHUSIANA NA SIMBA
Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefanya uzinduzi wa pafyumu yake inayoitwa De Le Boss pamoja na Taasisi yake ya Haji Manara Foundation katika ukumbi wa Hyatt Regency Posta.Akizungumza wakati anaingia ukumbini hapo, Manara amesema umefika wakati wa yeye kutumia jina lake vizuri ili kujiingizia kipato na si kukaa tu kufurahia kuandikwa magazetini au kubweteka tu akiiongelea Simba.
