Founder KC-2 Desktop PC Audio Driver

fkabete

Member
Joined
Apr 15, 2009
Posts
16
Reaction score
0
Wasalaam Member wa JF! Nina Desktop PC yangu (Founder KC-2) ambayo tatizo lake kubwa ni Driver ya Audio Controller. Nimetafuta sana kwenye Internet bila mafaniki. Naomba kama kuna mwenye Idea na hii anitumie Link please. Maelezo yake ni kama ifuatavyo:

Founder KC-2
ML003910
S/N: DEGC005027
P/N: 1E000072

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…