Hebie
JF-Expert Member
- Jul 29, 2012
- 1,414
- 868
Helooooow! Sijui nikiite kitabu ama nikiite kifaa? Lakini vile kilivyo tu ndipo hunihangaisha kichwa, kimejazwa makundi ya namba mbalimbali zinazotumika kwenye mahesabu shuleni, makundi hayo ni kama Logarithim, Tangent, Sin nk
Swali langu ni pale kilipopewa jina la four figure linauhusiano gani na manamba yalioko ndani?
Nisaidie kuelewa ndugu zangu.
Swali langu ni pale kilipopewa jina la four figure linauhusiano gani na manamba yalioko ndani?
Nisaidie kuelewa ndugu zangu.