Four Seasons Safari Lodge Serengeti Tanzania

Presidential suite $11400 per night na iko full booked mpaka 2020.Huko ndiyi mzee wa msoga kila december alikua anaenda kwenye mambo yetu yalee.Anayeisimamia kwa sasa muarabu ndiye mwenye Hyatt Kilimanjaro Hotel ya Dar
 
Ukiwa katika room unaona wanyama wa aina zote wanakuja nje ya dirishani kwako kunywa maji
 
Ikifuatiwana singita farufaru lodge ya tarangire. Hii nayo ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…