Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
nimepewa leo zawadi na shabiki ati, sasa ni mikwaju tu, jembe niweke chini.
Congratulations Mzee Mwanakijiji. You deserve to be the next President of the United Republic of Tanzania. You have all that it takes.
Hongera sana Mwanakijiji.
Kuna mengi sana uliyotoa ila binafsi sintasahau makali ya "Kasungura," "Ndege ya Uchumi", na "Save Amina"
Laiti watanzania wote tungekuwa na ujasiri wa aina yako, tungeondoa hii mediocrity inayotutesa miongoni mwetu ghafla bin vuu sekunde moja tu.
Matokeo yake yanajulikana
Ubarikiwe sana Mzee Mwanakijiji, Kwa Makala zake wengine tukajipatia majina JF!