Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Ukiangalia kwa wenzetu kuna vyuo vinafundisha michezo mbali mbali, na wanaosoma kozi hizo ni wanamichezo. Mfano caster semenya ni mwanafunzi wa university of pretoria, anasoma sports science. Huku kwetu sijawahi sikia mchezaji wa mchezo wowote anasoma chuo cha michezo potelea mbali kufanya mazoezi. Kuna kozi ya fine and performing arts huwa naisikia udsm, hivi wanafundisha nini? Wanafundisha watu wa aina gani? Vigezo gani vinatumika kuwachagua wanaostahili kusoma? Au wanafundisha wenzangu na mie wa collar jobs? Au ni bussiness as usual? Kuna vitu vingine siyo kila anayefaulu form six anastahili kusoma, wapewe nafasi wenye vipaji vyao.