Frame inahitajika - Kurasini

Frame inahitajika - Kurasini

Crook

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Posts
137
Reaction score
110
Habari zenu wakuu,

Binafsi najihusisha na kutoa ushauri wa kibiashara pamoja na huduma zingine za kiuhasibu na kodi jijini Dar es Salaam pamoja na huduma zinginezo.

Katika kutekeleza mpangokazi wangu wa mwaka 2020/2021 nina mpango wa kufungua ofisi maeneo ya kurasini (Along Nelson Mandela au Kilwa road) hivyo basi ninaomba mwenye taarifa zozote juu ya upatikanaji/uwepo wa frame maeneo hayo naomba anitaarifu

Pamoja na yote napenda kuwakaribisha kwa watakaohitaji huduma zetu, popote tutawafikia
 
Back
Top Bottom